Nchi yetu inamuhitaji rais wa namna hii

Nchi yetu inamuhitaji rais wa namna hii

IRINGA MOJA

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2014
Posts
503
Reaction score
229
Ni ukweli usio na shaka ya kwamba nchi yetu imefikia mahali ambapo haimuhitaji mwanasiasa kuwa kiongozi wa nchi bali KIONGOZI MTENDEJI mwenye uwezo wa kufanya maamuzi magumu wakati wowote na kwa mtu yeyote pasopokujali wadhifa wala itikadi. tunahitaji mtu wa kututoa hapa tulipo na kutupeleka mbele zaidi kama taifa, kutoka kwenye aina ya uchumi tulionao mpaka uchumi wa kati hasa ukizingatia utajiri mkubwa wa gesi tulonao. naamini yupo kiongozi wa namna hii na hakika kama taifa tutapiga hatua zaidi.
 
Kuna watu waadrfu ktk nchi wenye falsafa na mitazamo ya kimaendeleo wasiopendwa na wachache waliopo serkaln(ccm), wenye hadhi na sifa kubwa nje. Mumekalia kuawasfu watu wanaotembea makanisani na msikitin kujkosha.

Namuongelea mtu ambae mwl almuamini tangu alipokua kijana mdogo akapewa madaraka makubwa na kuipa sifa nvhi ndani na nje ya bara la afrika, huyu ni SALIM A. SALIM kiongoz ambae nacktka ambae anao uwezo wa kuliongoza taifa hili kwa uhadrfu mkubwa na kimtzamo wa mwl jk nyerere...muachane na lowasa salim ni zaid ya lowasa, pinda, sitta na wengine walioko ccm au upinzani.

Ni ki9ngoz ambae na mpenda zaidi, lakn hazungumziwi na wengi kwa sababu ya uhadrfu wake ktk uongoz.
 
tulidhani JK angetupeleka nchi ya maziwa na asali.........kumbe.........
 
Uzuri wa raisi wa nchi yeyote unaanzia kwenye KATIBA YA nchi. Katiba ya nchi ikiweka kifungu cha kumshitaki raisi mahakamani akifanya makosa . Wwe sitegemee Tanzania itakuja mpata raisi mtendaj ajuwae kfia masha duni ya wananchi kamavile alivyokuwa Kennedy wa marekani, ikiwa nchi yetu KATIBA yake hammgusi raisi mfanyamakosa.
 
Kuna watu waadrfu ktk nchi wenye falsafa na mitazamo ya kimaendeleo wasiopendwa na wachache waliopo serkaln(ccm), wenye hadhi na sifa kubwa nje. Mumekalia kuawasfu watu wanaotembea makanisani na msikitin kujkosha.

Namuongelea mtu ambae mwl almuamini tangu alipokua kijana mdogo akapewa madaraka makubwa na kuipa sifa nvhi ndani na nje ya bara la afrika, huyu ni SALIM A. SALIM kiongoz ambae nacktka ambae anao uwezo wa kuliongoza taifa hili kwa uhadrfu mkubwa na kimtzamo wa mwl jk nyerere...muachane na lowasa salim ni zaid ya lowasa, pinda, sitta na wengine walioko ccm au upinzani.

Ni ki9ngoz ambae na mpenda zaidi, lakn hazungumziwi na wengi kwa sababu ya uhadrfu wake ktk uongoz.
Salim angefaa lakini kwa bahati mbaya amezeeka sana!

dr_salim.jpg
 
Salimu anafaa lakini kwa sasa hawezi kuendana na kasi ya siasa ya Tanzania but miaka ya themanini alikuwa anafit.
 
Back
Top Bottom