Super Brain
Member
- Apr 17, 2016
- 45
- 38
sawa jambo jema,ila magufuli kama raia na raisi alipe kodi!huo ndio uzalendo wetu!1000 digit hakuna taifa la ulaya ambalo hakijapitia udikteta ninachokisema ni kama wenzangu walivyonena kuwa katiba husimamiwa,kama kiongozi ni mbovu hata katiba iweje,lakini we unavyoona wananchi hitaji lao la msingi ni katiba kweli?Wananchi wanahitaji uwajibikaji na maendeleo katiba haina nguvu kama walivyokuwa na shauku ya kuona mafisadi wanawahibishwa uchumi upae hata marekani demokrasia ilikuwa baada ya maendeleo kupata mwamko Mkubwa hats France,Poland,Belgium, German,Italy na nchi nyinginezo
1000 digit hakuna taifa la ulaya ambalo hakijapitia udikteta ninachokisema ni kama wenzangu walivyonena kuwa katiba husimamiwa,kama kiongozi ni mbovu hata katiba iweje,lakini we unavyoona wananchi hitaji lao la msingi ni katiba kweli?Wananchi wanahitaji uwajibikaji na maendeleo katiba haina nguvu kama walivyokuwa na shauku ya kuona mafisadi wanawahibishwa uchumi upae hata marekani demokrasia ilikuwa baada ya maendeleo kupata mwamko Mkubwa hats France,Poland,Belgium, German,Italy na nchi nyinginezo