Nape bwana kumbe upo na ID kibao!Babuwaloliondo, changia mada. Nape alishajibu Hilo siku nyingi HATA Kama sikubaliani naye sana KWENYE majibu yake.
Hapa mada NI UZALENDO wa cdm uko wapi kwa sakata la Arusha? Hivi kweli kwasababu Tunataka Kesi ZA viongozi wetu zifutwe, bass tuko tayari mgogoro usiishe, kisa kesi ziko mahakamani ZA Freeman na Slaa?
KWAHILI CHAMA CHANGU MMENICHEFUA AAAAGHAAAAA!!!!!!!!
Mtazamo WANGU binafsi Arusha madiwani ambao kwakweli NI wawakilishi WA wananchi na bahati mzuri hakuna aliyepinga kuchaguliwa Kwai udiwani, wamekaa na kuamua KUMALIZA tofauti zao, Leo viongozi wao wanapokataa muafaka ule maana yake UZALENDO KWA CHAMA NI MKUBWA KULIKO KWA WANANCHI WA ARUSHA?
Kwa hili la ARUSHA NILIDHANI INGEKUWA WANANCHI KWANZA, CHAMA BAADAE

Nape bwana kumbe upo na ID kibao!