Nchi ipo salama

mbona unatulisha vumbi la upepo, ni nini hicho??,hebu fafanua basi!!!
 
SALAMA KWA HIVYO VI FIGHTER JET VYA KICHINA NA KIRUSI TENA VYA KIZAMAN SANA,szan hata kama waliotengeneza wanaztambua,ndo useme nchi ipo salama? wenye mi F16,F22 RAPTOR,F35,SU35,MIG22 etc nao wasemeje na bado huko waendako kupeleka amani na madege hayo wanachemka,huu ujinga ujinga huu ndo unaliangamiza taifa.
 
sisi ndio wa-Tanzania, hapa tulipo ni Tanzania, unatueleza ya-Tanzania!!........
 
wakati mwingine nahisi kama nchi yetu huwa tunaipeleka kimajaribi zaidi badala ya kuleta mafanikio ya nchi.
 
Kuna watu hawastahili kuwa amiri jeshi mkuu, maana akionyeshwa masilaha kama haya kuwa yapo chini ya komandi yake anaweza pagawa kuwa, heh kumbe nina nguvu hivi!? Sasa ole wenu na vi fence vyenu.
 
Heee ndani ya hicho kioo ni magazeti au ?
 

Watu mnadharau na kuponda each and everything...kwani unajua hiyo ni ndege ya aina gani hiyo??? na unajuaje kuwa ni ya kizamani???!!! Watanzania wanashangaza mno, sijui tumeumbwaje...yaani dharau, dharau, kuponda, kuponda mpaka inakera....ni tabia ya ajabu...kuponda, kudharau, kulalamika, majungu, fitina, uzushi, uvivu ndio tabia za Watanzania tulio wengi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…