Nchi inayoongoza kwa umbea duniani

Nijuavyo mm kuna makundi matatu ya watu{wasio na nia nzuri}
1. WAMBEA (hawa ni aina ya watu ambao mara nyingi wanatoa taarifa za kweli isipokuwa wanazitoa bila ruhusa ya wahusika au mhusika)
2.WAONGO (hawa ni aina ya watu wanaotoa taarifa zisizo za kweli ni wachonganishi.
3.WANAFKI (hawa ni aina ya watu ambao mara nyingi wanapenda kung'ata na kupuliza yaani wanapenda kujikosha kote kote wao Wapo.

My point ni kwamba nchi yoyote yenye maendeleo lazima pawepo na watu wa aina hizi hapo, na mara nyingi mtu popote ulipo iwe nyumbani, ofisini au shuleni lazima uzungukwe na watu hao au ww kuwa mmoja wa watu had.
 
Ni ajabu na kweli yaani umbea mpk unaundiwa chama chake?ajabu wanaume nao wamo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…