The Sapiens
Member
- Dec 31, 2018
- 93
- 86
Mkuu Hii post yako imeniharibia siku nilijua upuuzi huu umeisha kumbe bado sasa shule c zinafunguliwa jtatu na mialimu c inatakiwa iwe darasani mh majaliwa susia upuuzi bado unaheshimika acheni watu wafanye kazi hizi talantatalila za maandamano c mmezipiga marufuku jamani kwa kisingizio cha watu wafanye kazi ?Hawa jamaa nadhani elimu yao haijawasidia chochote.
Inasikitisha sana baada ya zaidi ya miaka 50 ya uhuru,ujinga bado ni tatizo. View attachment 987242
Ndio hivyo mkuu,kwao wao maandamano ya kusifia yanaruhusiwa muda wowote.Mkuu Hii post yako imeniharibia siku nilijua upuuzi huu umeisha kumbe bado sasa shule c zinafunguliwa jtatu na mialimu c inatakiwa iwe darasani mh majaliwa susia upuuzi bado unaheshimika acheni watu wafanye kazi hizi talantatalila za maandamano c mmezipiga marufuku jamani kwa kisingizio cha watu wafanye kazi ?
daaah Hii post imeniboa sana
Pole mkuuMkuu Hii post yako imeniharibia siku nilijua upuuzi huu umeisha kumbe bado sasa shule c zinafunguliwa jtatu na mialimu c inatakiwa iwe darasani mh majaliwa susia upuuzi bado unaheshimika acheni watu wafanye kazi hizi talantatalila za maandamano c mmezipiga marufuku jamani kwa kisingizio cha watu wafanye kazi ?
daaah Hii post imeniboa sana
wajue wanatengeneza kizazi cha wanafiki mialimu inalalamika kila siku humu haijapandishwa madaraja leo inaenda kusifia upuuzi mialimu daah acheni upopomaNdio hivyo mkuu,kwao wao maandamano ya kusifia yanaruhusiwa muda wowote.