Wakati mh sana Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania akiwahutubia wazee wa Dar es salaam alikiri ukweli kuwa nchi hii si masikini na haipaswi kuwa masikini kutokana na resources nyingi ilizonazo,Mwl Nyerere aliwahi kutuambia kuwa ili nchi iendelee inahitaji vitu vinne:
1.Ardhi...Tanzania ina eneo la kilometres za mraba 945,000+.kati ya hizo 43% inafaa kwa kilimo ingawa chini ya chama tukufu ccm mpaka sasa ni 8% ndiyo inayotumika,67% ina ama madini,misitu,mito au ziwa
2.Watu...Tanzania ina watu 45,000,000+soko hill linaifaidisha zaidi Kenya.kumbuka KQ tu inaruka kati ya Dar na Nairobi zaidi ya Mara NNE a day
3: siasa safi:ccm ndo baba na mama wa siasa za Tanzania
4.Uongozi bora..nchi hii imekuwa chini ya uongozi wa watu wale wale,chama kile kile, Sera zile zile mavazi Yale Yale,kulindana kule kule,tabia zile zile,usanii ule ule for 55 year
Mh Magufuli kaamua kujipa kazi ya kutumbua majibu yaliyopo kila idara ya nchi hii yaliyosababishwa ama na uongozi mbovu wa nchi au siasa chafu zilizopo Tanzania.pamoja na aibu hii ya majipu,nchi kuoza kwa mujibu wa rais na nchi yetu kuendelea kuwa masikini wakati haikutakiwa kuwa masikini utasikia masikini wa akili wengine wakikuambia ccm ni mpango wa Mungu,ccm mbele kwa mbele,hapa kazi tu huku wakiwa mama wa nyumbani nk.inatia hasira sana