Nchi hii imeponea Chupuchupu,Laiti Membe angeingia mmmhhh.

swagazetu

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
4,250
1,470
Hivi tutafakari hivi angeingia Madarakani Membe ambaye alikuwa ndiyo ameandaliwa na Mh.Mkwere hali ingekuaje,Mwendelezo wa Makontena ungekuwaje.Kama angeingia shost wa mkwere tungeumia kiasi gani!! Nafikiria nashindwa kujua haya yaliyofichuka yangekuwaje.

Hata kama sikumpigia kura JPM lakn kwa haya Membe angetuumiza sana maana angefanya kazi ileile ya mkwere.
 
hivi membe alipata ubunge, au ndio ameisoma namba? uwaziri kasoma namba, sijui namba tasa sijui witiri?hahaha
 
Hivi tutafakari hivi angeingia Madarakani Membe ambaye alikuwa ndiyo ameandaliwa na Mh.Mkwere hali ingekuaje,Mwendelezo wa Makontena ungekuwaje.Kama angeingia shost wa mkwere tungeumia kiasi gani!! Nafikiria nashindwa kujua haya yaliyofichuka yangekuwaje.

Hata kama sikumpigia kura JPM lakn kwa haya Membe angetuumiza sana maana angefanya kazi ileile ya mkwere.
Mchuano ulikuwa kati ya Magufuli na Lowassa. Kwa hiyo ni sahihi kusema nchi imeponea chupuchupu na janga la Lowassa. Huyo unayemuita mkwere ndiye mtu wa kupongezwa kwa kumkatilia mbali Lowassa.
 
Jiulize pia je angeingia low-ass-a na freelance mbo-w-e hayo aliyofanya jpm yangefanyika?
 
Japo tumekosea lakn ni bora kuliko mwembe.
 
2005 mkapa alishindwa mkapa kumuweka sumaye kama jk alivyoshindwa kumuweka membe ikulu...tofauti ni kwamba magu kawekwa ikulu na usalama wa taifa ambao at least ni wazalendo kwa mbali.
 
Mchuano ulikuwa kati ya Magufuli na Lowassa. Kwa hiyo ni sahihi kusema nchi imeponea chupuchupu na janga la Lowassa. Huyo unayemuita mkwere ndiye mtu wa kupongezwa kwa kumkatilia mbali Lowassa.

Jiulize pia je angeingia low-ass-a na freelance mbo-w-e hayo aliyofanya jpm yangefanyika?

Nashukuru hamjatumia busara kunyamaza nimefurahi kuwahamu kuwa ni wajinga na wapumbavu.
 
Mchuano ulikuwa kati ya Magufuli na Lowassa. Kwa hiyo ni sahihi kusema nchi imeponea chupuchupu na janga la Lowassa. Huyo unayemuita mkwere ndiye mtu wa kupongezwa kwa kumkatilia mbali Lowassa.

Kwa taarifa yako mkwere hakuwa na ubavu wa kumkata Lowasa... Aliyemkata Lowasa ndiye aliyemkata Membe..tafakari. Asante Mkapa na Mwinyi kwa kumkata Membe na Lowasa na kutupa Magufuri.
 
2005 mkapa alishindwa mkapa kumuweka sumaye kama jk alivyoshindwa kumuweka membe ikulu...tofauti ni kwamba magu kawekwa ikulu na usalama wa taifa ambao at least ni wazalendo kwa mbali.

Kwa mbali mkuu!!
 
Mchuano ulikuwa kati ya Magufuli na Lowassa. Kwa hiyo ni sahihi kusema nchi imeponea chupuchupu na janga la Lowassa. Huyo unayemuita mkwere ndiye mtu wa kupongezwa kwa kumkatilia mbali Lowassa.

kweli mkuu lowassa alikuwa janga tena kubwa, asante bwana kwa kutunusuru na janga.
 
Kwa taarifa yako mkwere hakuwa na ubavu wa kumkata Lowasa... Aliyemkata Lowasa ndiye aliyemkata Membe..tafakari. Asante Mkapa na Mwinyi kwa kumkata Membe na Lowasa na kutupa Magufuri.
Wewe endelea na stori zako za vijiweni.
 
Mungu ni mkubwa Lowassa angetukamua mpaka Damu,Maana wale rafiki zake waliokuwa wanamchangia fedha za Kanisani na Miskitini wangejigawia vitalu.

Asante kikwete kwa kuja na jina la Magufuli Mfukoni.
 
Hawa wazungusha mikono wanajifanya hawaoni hilo. Jamaa wana akili za ajabu ajabu.
Labda wamerogwa. Chama hakina katibu mkuu zaidi ya miezi mitatu, hakuna anayehoji kwanini katiba inapuuzwa. Kuna watu wamepewa ubunge viti maalum wakiwa bado wanachama wa ccm, lakini mijitu haitaki kuangalia hayo. Ina kitu kichwani kweli hii misukule?!
 
Mungu ni mkubwa Lowassa angetukamua mpaka Damu,Maana wale rafiki zake waliokuwa wanamchangia fedha za Kanisani na Miskitini wangejigawia vitalu.

Asante kikwete kwa kuja na jina la Magufuli Mfukoni.
Wana hasira kweli. Nilishangaa siku mawaziri wanaapishwa ITV waliingia mitini.
 
Wapi papa wenje,ha ha ha......hivi ni kweli wenje alizabuliwa vibao na mr clean?
 
Back
Top Bottom