tanzania haimo dah inamaana hata niger ni nchi masikini siamin naunga mkono hoja leta chanzo
Watu wanajiuliza kwanini tanzania haipo kwenye list pia wanajiuliza kwanini Niger imeingia kwenye list ?. Binafsi naweza kusema hivi Tanzania uchumi wake unakuwa kwa sana lakini ukuaji wake wa uchumi hauendi sambamba na ukuaji wa maendeleo ya nchi, kwa kimombo changu duni naweza kusema ( There is no relationship between Economic Growth and Economic Development in Tanzania).NAMBA NCHI;
10. TOGO
9 MALAWI
8. SIERRA LEONE
7. NIGER
6. CENTRAL AFRICA REPUBLIC
5 ERITREA
4. BURUNDI
3. ZIMBABWE
2 LIBERIA
1. DRC
Top 10 Poorest Countries in Africa
Watu wanajiuliza kwanini tanzania haipo kwenye list pia wanajiuliza kwanini Niger imeingia kwenye list ?. Binafsi naweza kusema hivi Tanzania uchumi wake unakuwa kwa sana lakini ukuaji wake wa uchumi hauendi sambamba na ukuaji wa maendeleo ya nchi, kwa kimombo changu duni naweza kusema ( There is no relationship between Economic Growth and Economic Development in Tanzania).
Jaribu kuipitia post zote ndiyo utajua vizuri, mimi mwenyewe nimeshangaa kwanini watu wamejiuliza hivyoMkuu hivi kwenye Bold hapo kweli kuna mtu anayeijua vizuri NIGER na anawasiwasi juu ya kuwepo kwa nchi hiyo kwenye BOTTOM 10?
Watu wanajiuliza kwanini tanzania haipo kwenye list pia wanajiuliza kwanini Niger imeingia kwenye list ?. Binafsi naweza kusema hivi Tanzania uchumi wake unakuwa kwa sana lakini ukuaji wake wa uchumi hauendi sambamba na ukuaji wa maendeleo ya nchi, kwa kimombo changu duni naweza kusema ( There is no relationship between Economic Growth and Economic Development in Tanzania).
Infact uchumi unakuwa kwa kasi ya ajabu sana huwezi kuamini mpaka mataifa makubwa tajiri yanashangaa sana kasi ya ukuaji wa uchumi wa Tanzania, The big problem is how to redistribute this income to individuals, huu uchumi unarubuniwa na kuishia kwenye mikono ya watui wachache wenye roho za ubinafsi wasiokuwa na hata chembe ya huruma kwa wananchi wengine, mfano mdogo tu angalau mapesa ya escrow watu walivyo gawana kirahisi sana mahela kibao.
Lakini kama huu uchumi ungefanya kazi moja kwa moja kuleta maendeleo ya nchi na kwa wananchi kwa ujumla nakwambia hii nchi ingekuwa zaidi ya Africa Kusini. Tatizo kubwa ni rushwa na nchi yetu inashika nafasi za juu sana kwenye mambo ya rushwa
Nchi hii ina binadamu wa ajabu sana ...
Mtu kaweka na link hapo lakini bado wanauliza chanzo ....!!
Kweli kaka hyo tunaiita chuki binafsi.... nchi za magharibi zinatamani kuona Zimbabwe ikizama na kudidimia kabisa....Zimbabwe sio masikini wameiweka kwa ajili.ya.kukomoa tu
NAMBA NCHI;
10. TOGO
9 MALAWI
8. SIERRA LEONE
7. NIGER
6. CENTRAL AFRICA REPUBLIC
5 ERITREA
4. BURUNDI
3. ZIMBABWE
2 LIBERIA
1. DRC
Top 10 Poorest Countries in Africa