Nchi ambazo si mwanachama wa Umoja wa Afrika (AU)

onyx

JF-Expert Member
Mar 17, 2016
1,587
1,316
Wakuu heshima zenu,

Tafadhali naomba kufahamishwa ni nchi gani ambazo zipo bara la Africa, lakini sio mwanachama wa AU.

Nawasilisha
 
Morocco ilijitoa kutokana na OAU/AU kuwatambua "waasi" wa sahrawi magharibi
Nimekupata,ila sidhani kama wale ni waasi, ila wanataka kuwa na nchi yao. Vp hzi nchi zingine za kiarabu wote wapo,au nusunusu
 
Neno waasi nimeliweka kwenye quotations maana kuna wahuni walikuwa wanawaita hivyo
 
Back
Top Bottom