Nchi ambazo Mtanzania anaweza kutembelea bila Visa

Nchi ambazo Mtanzania anaweza kutembelea bila Visa

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,221
Reaction score
2,425
Nchi ambazo Mtanzania anaweza kutembelea bila Visa

1.png

Je unapenda kusafiri ?? Hivi unajua Ukiwa Mtanzania unaweza Tembelea nchi nyingi TU bila Visa ukaenda na kurudi freshi bila tabu yoyote najua wengi hawajui hii ??

2.png

Ukiwa na Passport ya Tanzania Kuna nchi zaidi ya 47 unaweza kutembelea bila Visa yoyote ile ikiwa wewe ni Raia ya Wakitanzania.

Hata hivyo ni muhimu pia ufahamu kuhusu muda ambao unapaswa kukaa na madhumuni yanayoruhusiwa kwa ajili ya kusafiri kwa Raia kutoka Tanzania katika kila nchi ambayo unaweza kwenda kuishi bila Visa Kuna taratibu zake.

3.png

4.png

Jitahidi umiliki passport ya Kitanzania ili Uweze kusafiri kwenye nchi zaidi ya 47 ambazo ukifanikiwa kwenda basi utaweza kwenda Bila Visa Free 😉.

5.png

6.png

7.png

8.png

Baadhi ya nchi ambazo Mtanzania unaweza Tembelea bila Visa 👇
⚡ Hong Kong
⚡ Singapore
⚡ South Africa
⚡ Namibia

11.png

13.png

14.png

⚡ Macao
⚡ Iran
⚡ Cook island
⚡ Bangladesh

16.png

17.png

20.png

18.png

Sogeza picha kuangalia nchi zinginezo ✅

15.png

19.png

9.png

10.png

12.png
 
Attachments

  • 10.png
    10.png
    2.6 MB · Views: 15
Nchi zote hazina Dili hizo

Sasa Iran napo Kuna kitu gan cha kwenda kufanya
 
Safi, tuendelee kupata fursa ya kutembelea nchi nyingi zaidi bila visa au hata iwe ni visa on arrival.
 
Nchi zote hazina Dili hizo

Sasa Iran napo Kuna kitu gan cha kwenda kufanya
Ningeshangaa kama Uzi huu upite bila kumkuta mpumbavu mmoja. Huna ulijualo ndg, tulia wenye kufahamu wafaidike.......we kahudumie vikongwe
 
Hong Kong pamoja ya kwamba tunapata visa on arrival, ila kuingia kwake kuna kaugumu na yote imesababishwa na mapunda wabeba ngada, walikuwa wanatumia njia hiyo kupitisha sembe kwemda mainland...
 
Nchi ambazo Mtanzania anaweza kutembelea bila Visa

View attachment 3273057

Je unapenda kusafiri ?? Hivi unajua Ukiwa Mtanzania unaweza Tembelea nchi nyingi TU bila Visa ukaenda na kurudi freshi bila tabu yoyote najua wengi hawajui hii ??

View attachment 3273058

Ukiwa na Passport ya Tanzania Kuna nchi zaidi ya 47 unaweza kutembelea bila Visa yoyote ile ikiwa wewe ni Raia ya Wakitanzania.

Hata hivyo ni muhimu pia ufahamu kuhusu muda ambao unapaswa kukaa na madhumuni yanayoruhusiwa kwa ajili ya kusafiri kwa Raia kutoka Tanzania katika kila nchi ambayo unaweza kwenda kuishi bila Visa Kuna taratibu zake.

View attachment 3273059

View attachment 3273060

Jitahidi umiliki passport ya Kitanzania ili Uweze kusafiri kwenye nchi zaidi ya 47 ambazo ukifanikiwa kwenda basi utaweza kwenda Bila Visa Free 😉.

View attachment 3273061

View attachment 3273062

View attachment 3273063

View attachment 3273064

Baadhi ya nchi ambazo Mtanzania unaweza Tembelea bila Visa 👇
⚡ Hong Kong
⚡ Singapore
⚡ South Africa
⚡ Namibia

View attachment 3273069

View attachment 3273071

View attachment 3273072

⚡ Macao
⚡ Iran
⚡ Cook island
⚡ Bangladesh

View attachment 3273075

View attachment 3273076

View attachment 3273077

View attachment 3273079

Sogeza picha kuangalia nchi zinginezo ✅

View attachment 3273074

View attachment 3273078

View attachment 3273065

View attachment 3273068

View attachment 3273070
Cha ajabu Zanzibar wao wanataka watanzania bara twende kwao na visa
 
Back
Top Bottom