Magazetini
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 593
- 1,713
Wote hawa ni makanjanjaAmenikera, mtu yeyote hata kama angekua anakubalika katika Jamii akienda kutafuta ukubalifu Msikitini au Kanisani atakua mtu wa hovyo tu hafai hatuchagui mtu kwa sababu ya kupita makanisani na kufanya Kampeni isitoshe yeye ni kiongozi mkubwa katika Chama amekiuka maadili. wamekua wakimlaumu Lowasa kwa kuzunguka makanisani na misikitini tofauti iko wapi?
Ikifutwa hii na ya Gwajima inafutwa , mko tayari?Hivi Waziri Chikawe...bado tu hujatoa list of local owned institutions kama hizi GMCL na Kuzifungia...!!? International NGO's tayari 24 two weeks ago zilifutiwa usajili....huu utapeli Mwigulu anafunga macho kabisa....kumbe anapigwa majini...this is disgusting...very annoying...kaaah..!!!
Sana tu, acha wavune, halafu wanawachata wenye pesa tu, SLAA, LOWASSA n.k.Wachungaji wetu nao wamegundua kuwa hiki ni kipindi cha mavuno, wanatoa upako kwa ye yote anayetaka.
Wachungaji wetu nao wamegundua kuwa hiki ni kipindi cha mavuno, wanatoa upako kwa ye yote anayetaka.
Ikifutwa hii na ya Gwajima inafutwa , mko tayari?
Gwajima is the first target....Mwizi na tapeli mkubwa Gwajima....All hooligans local N.G.Os and stupid churches will be closed very soon...!!!
Hujui Gwajima na Lowassa damudamu?atakuwa safe zaidi kwenye serikali ya Lowassa