waziri2020
Senior Member
- May 31, 2019
- 198
- 470
UmenènaNampongeza kwa kudhubutu kugombea, hongera zake. Kwamonekano, huyu hawezi mikikimikiki ya kampeni. Angegombea kwanza uenyekiti wa serikali za mitaa, kijiji au udiwani.
Kutikisika ni hiari siku hizi.Naona sisi tuliopo katika kona ya hapa nyuma hatujapata mtikisiko.
Wanawake wengi wana hizo tabia!!Mbatia kwenye kujipendekeza kwa Mwenyekiti wa CCM hajambo!
Alikua diwani CHADEMA, akaunga mkono juhudi! Sijui kwenye juhudi ilikuaje, lakini ameandika kitabu, Magufuli ni Mpango wa Mungu, alimtuma Jerry Muro ampelekee Baba! Labda kitabu hakikusomwa pia!Nampingeza kwa kudhubutu kugombea, hongera zake. Kwamonekano, huyu hawezi mikikimikiki ya kampeni.Angegombea kwanza uenyekiti wa serikali za mitaa, kijiji au udiwani.
Alikua diwani CHADEMA, akaunga mkono juhudi! Sijui kwenye juhudi ilikuaje, lakini ameandika kitabu, Magufuli ni Mpango wa Mungu, alimtuma Jerry Muro ampelekee Baba! Labda kitabu hakikusomwa pia!