Baba Clara
Member
- May 10, 2011
- 94
- 27
Definitely, akihama atatoka na karibu nusu ya wanachama wote wa CCM. So tutakuwa na NCCR mageuzi kama chama cha upinzani chenye wanachama wa CCM.Halafu bdae CCM yote ihamie NCCR ili kionekane ni chama cha upinzani kumbe ni ileile CCM.
Tehe tehe!!
Mtahangaika sana
kuna taarifa kuwa waziri
aliyejiudhuru edward lowasa akipigwa chini kura za maoni CCM 2015
atajiunga na chama cha NCCR-mageuzi ili kugombea nafasi ya urais, kutoka
ndani ya habari mazungumzo yameanza kufanyika.
kwani ni mkakati asifike?Atafika 2015?
Mkuu kwani hujaona zile vibration?kwani ni mkakati asifike?
Definitely, akihama atatoka na karibu nusu ya wanachama wote wa CCM. So tutakuwa na NCCR mageuzi kama chama cha upinzani chenye wanachama wa CCM.
Vyote vinao. ila tofauti yake ni moja tu. Kuna wale wanaotoaka CCM na kujiunga na vyama vingine kwa kuwa wamechoka na ubabaishaji wa CCM na kuna wale wanaotoka kwa kuwa mtu fulani ameondoka. Na mbaya zaidi ni kwamba mtu mwenyewe ni fisadi la kutupa. So tutakapokuwa na wanaCCM ambao wapo ndani ya NCCR kwa ajili ya kumfuata Fisadi Lowasa, definitely tutakuwa tumeichukua CCM ile ile kwa rangi zake zile zile na kuiweka ndani ya NCCR. Hatutakuwa tumetatua tatizo hapo.Hivi ni chama gani hakina wahamiaji kutoka vyama vingine?