NCCR- mageuzi waja na kali ya mwaka.

NCCR- mageuzi waja na kali ya mwaka.

Status
Not open for further replies.

Baba Clara

Member
Joined
May 10, 2011
Posts
94
Reaction score
27
Chama cha NCCR-Mageuzi kiko mbioni kuja na mbinu mpya ya kujenga umoja wa watanzania bila vurugu, mkakati huu unatazamiwa kuanza mapema mwezi wa oktoba 2013, tega sikio na macho.
 
Hebu jipange mkuu ndiyo ulete taarifa vinginevyo unatafuta matusi!
 
Mbatia si ndio ubunge kapewa na Kikwete? Lazima aje na hiyo..ccm c
 
Hata uwe na mbinu ya Amani unakwepa vurugu kwa Kila namna kwakua tu ni chama cha upinzani ukifikia hatua ya kuteka wanachama wengi na kutishia uwepo wa CCM basi balaa zitaanza kuandama chama chenu, tatizo la Tanzania ni CCM!! Nccr Mageuzi sasa haina matukio mengi kwakua haina madhara kwa CCM. Vurugu nyingi za chadema na CUF chanzo hua ni CCM na mauaji mengi wanayaratibu CCM,.. Anayekataa akatae tu ila huo ndio ukweli!!
 
Kwani lini walifanya vurugu?

Ajabu! Hivi vyama vya kuchumia tumbo ndugu yangu utaviweza! Maneno meeeeeengi. Si waingie kwenye field tuone watakavyungwa mkono! Chama chenyewe hata wabunge kuliopata kilipata wa maruhani lakini kwa kelele
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom