Dr Shekilango
Senior Member
- Dec 30, 2013
- 192
- 117
Bavicha wamegeuka watu wa mipasho
Nccr mageuzi upande wa Vijana wapo vizuri sana
Bavicha warudi mashambani wakaendeleze kilimo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbatia hio mbinu kaiiga toka kwa mfadhili wakeKatika wimbi la Vijana wa vyama vingine vya upinzani wanaohama Kutoka ACT Wazalendo na CHADEMA kwenda NCCR-MAGEUZI wanaonekana kuwa na nguvu kubwa hivyo kumuyumbisha Mwenyekiti wa Kitengo cha Vijana NCCR-MAGEUZI Nicolas Clinton, wengi wanaonekana kuwa na moto wa kukitumikia chama hicho kiharakati wakati chama hicho hakipo kiharakati.
Hivyo Clinton amekalia moto either kuondolewa katika nafasi yake au kuendelea kupata upinzani mkubwa kutoka kwa magwiji wa siasa kutoka CHADEMA japo kuwa ni kiongozi mzuri mwenye busara na hekma na siyo radical pia.
Pia ndani ya chama kuna kundi linamtuumu Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI James Mbatia kuwapendelea wageni zaidi!View attachment 1422535
Vijana wengi TZ ni bure tu, hata hawajui nini wanataka! NCCR-Mageuzi imechukua mkondo ambao kijana mwerevu mwenye kupigania maslahi mapana ya nchi sio mahali salama kupakimbilia this time. ila kama anatafuta tiba ya tiba panaweza kumsaidia yeye binafsi kwa muda mfupi sana. Mbatia yuko hoi ametafuta msaada wa kurudishiwa uhai na CCM. Hakuna cha mama Tanzania tena, bali ni tumbo lake!
Ipo tofauti ya chama kinachojulikana Vunjo pekee na kinachojulikana nchi nzimaChadema yenyewe ilijengwa na wanachama kutoka NCCR Mageuzi bora tu irudi
Hao Nccr Malaya wa Siasa wenye akili hatuhangaiki nao. Tunawaacha wacheze na mabasha wao sisiemu. Wasubirie October ndio watajua Watanzania sio wajinga.
Sent using Jamii Forums mobile app