Jomba machine to hata gari sometyms huwa gear zinaruka, na ukienda itarudi coz huwa kuna camera l do hope, al n al pole nami ilishanitoke crdb
wacha mawazo ya kizembezembe ya kutetea uzembe! Kwanini nchi nyingine haya matatizo hayatokei mara kwa mara kama Tanzania!Jomba machine to hata gari sometyms huwa gear zinaruka, na ukienda itarudi coz huwa kuna camera l do hope, al n al pole nami ilishanitoke crdb
Kama haikukupa risiti yoyote ambayo inaonesha kulikuwa na tatizo katika utoaji wa pesa, uwezekano mkubwa ni kuwa katika tawi hilo kuna mtu ambaye si mwaminifu na alichanganya noti za elfu kumi pamoja na za elfu tano. Kwa kawaida noti za thamani mbalimbali zinawekwa kwenye trei tofauti na mashine inazitambua kutokana na trei ambayo pesa hizo zinakuwa zimewekwa. Ndiyo maana mara nyingi kama kuna hitilafu ya kiufundi mashine inatoa risiti moja kwa moja hata kama haujahitaji. La msingi ni kuwa mwangalifu kwani kwa sasa kama kuna ATM ambazo zinatambua noti kwa alama zilizo kwenye noti hizo kulingana na thamani yake basi zitakuwa ni chache MNO (ndani ya Tz). Kwa kifupi uwezekano mkubwa ni kuwa kuna mtu asiyemwaminifu hapo ulipotoa fedha. Ila bila kithibitisho ngoma inakuwa ngumu kwelikweli.
Jomba machine to hata gari sometyms huwa gear zinaruka, na ukienda itarudi coz huwa kuna camera l do hope, al n al pole nami ilishanitoke crdb
Pole sana Mckihiga, na mie imewai kunitokea pale NBC Mlinani city. Nilikomandi laki 2, kwanza ikachukua mdaa sio wa kawaida kutoa pesa, badae sana ikatoka laki na nusu (notes za elf 10), ila what saved me kwenye reciept ikatoa ujumbe, sikumbuki the exact words, kwamba kuna hela yangu imebaki. nilipo enda ndani wale ma 'customer cares', as usual, they never care for customers, wakadai mie ni muongo, tukabishana hadi nikawambia twende kwa manager. manager akosoma reciept, mwishoni sasa ndo naambiwa niandike barua, toa P/copy ya ATM card na ya receipt. Baada ya wiki 3 nilipo check statment yangu hela ilikua imeingia.
Tangu then, najitaidi kutumia ATM ya Branch A/C yangu ilipo, and i never use ATM za 'vibandani'.
This happened to me last year, kama paka leo yanatokea, kuna shida kubwa
tatizo ilo lipo katika bank zetu kwani NBC mashine wameingiza mashine zilizotumika huko ulaya........cha msingi ni kuwa wahangalifu na kutokubali kutoa fedha bila risiti..............pole ila unaweza kuliwasilisha tatizo lako kwenye uongozi wa bank au ukiwa na nguvu unaweza kuliwasilisha mahakama ya biashara
Dah, siombei yanikute. Hela yenyewe ya mawazo.
Peleka taarifa kwa wakuu.
Kutumia elf 30 kudai 20 ni upupu ila kumbuka ile ni haki yako na utawaokoa wengine endapo utafatilia hadi tatizo likawa solved. Huwezi jua, leo wamekata 20 ipo siku watakata pesa yote. Fatilia tu.