NBC Bank Si Salama.

Ngoja nikafunge account yangu, hii benki ina kimavi kila siku mabalaa/
 
Sasa mbona mnatutisha tunaanza ogopa eti. Ukikombewa hela usawa huu maumivu yake si mchezo.
 
Usinikumbe ya jamaa yangu na EXIM mpaka leo wanamsumbua benki wawekee laki 5 tu ina watosha..
 
Credibility ya aliyeleta hii mada ni questionable, huwezi toa accusation kali kama hizi bila vivid evidence bwana, be specif, what happened? Umefikia wapi conclusion hii? Acha ubabaishaji

MSent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

ushahidi upo wa kumwaga. kama unabisha basi zamu yako inakuja. NBC is f##*ed up. Period.
 

mkuu hili tatizo ni kweli lipo na mtu usipokua makini hela zako, zinapotea pazi kujua. niiliwah kupata tatizo kama hili kwenye benk hii hii ya NBC na ukweli ni kwamba hela zilikuwa zinatolewa bila mm. nilidraw hela pale victoria ikatoka risiti ikiwa inasomeka hela nyingi zaid ya nilizoomba. siku iliyofuata ilibidi kurudi plae victora kwa meneja kuangalia bank statement on line kweli hela imetolewa ila mm niliomba chache na nikapewa nilizoomba hizo nyingine zilikwenda wapi??

nikaambiwa labda ni kampyuta imeandika vby so nikatakiwa kuiandikia bank barua kurequest hela yangu nikiweka na viambatanish vyangu ilinichukua wiki ile hela kurudishwa kwenye a/c yangu. ilikuwaje sijui ila iliporudi nilishukuru Mungu tu.

kilichonisaidia ni kwamba niliwithdraw amount ambayo ni maximum kwenye atm withdrawing so walipoandika risiti wa double the amount. na hela ikatoka kweli kivipi sijui.
 

mimi pia issue ya ada ..transaction ikawa haionekani and chuo hela ikawa haijaingi..nlipata usumbufu as nililipia branch ya mbali.something is wrong hapo NBC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…