iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,924
Ninashangazwa na chama hiki cha wahasibu na wakaguzi kwa kukaa kimya bila kusemea mambo yanayogusa wahasibu na wakaguzi wa mahesabu,na kwa leo ntaongelea CAG.
CAG analalamika kwamba anashindwa kutimiza majukumu yake kutokana na bajeti yake kufyekwa vilivyo na serikali kinyume na taratibu.
Kama ntamnukuu zitto kabwe sawasawa,anasema serikali haitakiwi kijipangia mtu wa kuwakagua apewe Tsh ngapi,kamati ya bunge ndio inaoendekeza bajeti ya CAG,lakini yanayofanyika ni kinyume.
Sasa tunahoji,hawa NBAA katika hili wana nafasi ipi ili kulinda proffessionalism katika fani hiyo?
Hata kauli hawatoi?
Nadhani waige mfano wa TLS
Hii inaenda mpaka kwa wahandisi,tenda za ujenzi zinatangwa juu kwa juu anapewa mtu mmoja,hakuna ushindani,kwa nini bodi ya makandarasi haitoi kauli kutetea wadau wake ili kampuni zao zisife?