Kwa kuangalia stats za Finals so far na perfomances, Bron hana mshindani, iwe kashinda ama kashindwa. Nafikiri umeona stats zake, anaongoza kwa points, assists, rebounds, steals na blocks. Signs za all rounder hizo; jambo ambalo nimewahi kulisema kuwa ni moja ya vitu vinavyomfanya mchezaji kuwa GOAT. Green akiendelea kucheza kama sasa, naamini atakuja kuwa mmoja wa all rounders wazuri kutokea NBA.Kwanini asiwe kama game 7 atafanya kama alichokuwa anakifanya regular season?? Mpaka sasa nani kwako kutoka Warriors unaona yuko favorable kupata Finals MVP bila ubishi?? Kwa Cleveland anaonekana ni Lebron kama watashinda.. Ila kwangu mimi naona ni bora apewe Klay najua atakuwa moto sana game 7..
hahahahah...................Hadi All star?????????? Kwahiyo Westbrook aliyeshinda MVP ya all star alifanya nini kwenye NBA Western Conference finals? hebu toa hiyo Category hapo kumpima mtu aiseeee.
It's only his third all star and you guys tripping like he's played 7 or 15 like the one you've mentioned.. Hebu acheni double standards hizi aiseee.
Hahahahah Curry can't become that man.... He's limited to what he's best at. And when it comes to that nobody edges his marksmanship. Kwanini tu tusikubali kuwa a player is whom he's. LeBron kabarikiwa kuwa whom he's no problem. He's a great all rounder no problem.. he's a great defender no problem... he's a great and efficient scorer no problem...Kwa kuangalia stats za Finals so far na perfomances, Bron hana mshindani, iwe kashinda ama kashindwa. Nafikiri umeona stats zake, anaongoza kwa points, assists, rebounds, steals na blocks. Signs za all rounder hizo; jambo ambalo nimewahi kulisema kuwa ni moja ya vitu vinavyomfanya mchezaji kuwa GOAT. Green akiendelea kucheza kama sasa, naamini atakuja kuwa mmoja wa all rounders wazuri kutokea NBA.
Hivi hili nalo ni swali..... mention five players who've endured injuries kama huyu kijana. Hebu tuwe realistic. This kid's career had been hampered by injuries that's not even a question.Great. That speaks volume braza. Najua tutarudi kwenye debate ya zamani: where was Curry? 7 NBA seasons, 3 All Stars appearances.
Oh! Double standards? Kwa hiyo wapenzi wake mkiaanza kumfananisha na GOATs ni sawa. Ila mkibanwa kwa CV yake ndogo, mnakimbilia kuongelea muda ambao amekuwepo NBA, siyo? Hii kwenye ni 'one standard', right?!?
..naomba unitajie ubad boy wa LBJ,Durant na RW......Infact none has any element of being a ''bad boy'' if literally meant...Nilichokisema ni kwamba historia ya Curry ya kupata 'mafanikio' ndiyo inatengenezwa kuwa ndiyo sahihi kwa vijana kuiga. Kwamba Curry anafaa kuwa mfano wa kuigwa 'role model' kwa vijana wa kimarekani. Kama unaelewa hili suala kwa context ya Marekani, nafikiri itakufanya uelewe kwa wepesi ninachokisema. Bad boys kama kina Bron, RW na hata Durant, uwa hawapaswi kuwa role models wa watoto wao (wa the establishment).
...kijana una mbwembwe sana.....hizo mbio za sakafuni....ukingo jumatatu...Mag3, Tyta, Steph Curry, Alegria do povo, King Shaat, Mazigazi, shansarie na wapenzi wengine wote wa GSW nakupeni pongezi kwa kipindi chote cha hii series, kabla haijaanza nilikuwa na uhakika wa kuwafunga mapema, mkatufunga 2 bila, then 3-1 nikarusha taulo uwanjani, bahati mbaya taulo likanasa kwenye moja ya nguzo za ulingo, hivyo haikufika uwanjani.
Natangaza rasmi kuliondoa lile taulo pale kwenye ulingo, which means nimefufua tena kwa asilimia 78 uhakika wa mimi kushinda game 7, naomba kutangaza rasmi bila kificho kwamba bingwa wa Mwaka huu ni Cavs, Finals MVP sihitaji kumtaja.
....haijawi kutokea,na haitatokea mkuu..Ni masikitiko makubwa kwamba timu inaweza kuwa na ushindi wa 73-9 huku ikiwa na unanimous MVP ikashindwa kuchukua ubingwa.
Curry amekuwa akichoke kwenye biggest stage.. Zipi hizo labda uziseme sasa.. Last year game tatu za mwisho zilizoiwezesha Warriors kuchukua ubingwa aliakuwa na wastani wa points 28, Assist 6.3 na Rebound 5.. Sasa huko ni kuchoke?? Na hizi tatu za mwisho kwa Cleveland amechoke wakati amefunga 38, 25, 30 Points.. Iggy mwaka jana alichukua Finals MVP kwasababu majukumu makubwa ya kuipa timu ubingwa ilikuwa ni kumzuia Lebron na aliyeweza kufanya hivyo ni Iggy.. Curry hakuna anayebisha kwamba si mzuri sana kwenye defense, lakini offensively yeye ndiye aliyeisaidia sana Warriors kuchukua ubingwa kwa hizo Stats nilizokuwekea..Mwenzako anaongelea NBA Finals series, na siyo postseason yote. Finals' MVP hapatikani kwa kuangalia michezo yote ya postseason; wanaangalia umekuwa na umuhimu na thamani gani kwenye timu yako.
So far Curry, kama unanimous MVP haja-live to the stand of being the 1st unanimous MVP. The Finals ndiyo the biggest stage kwa MVP kuonyesha kwanini yeye ni MVP. Curry ameshindwa (so far) ku-prove yeye ni MVP kweli at the biggest stage, tofauti na akina MJ na Bron ambao wamewahi kuwa regular MVPs na Finals' MVPs. At the biggest stages, Curry amekuwa aki-choke: cheki All Stars games (mara 3 alizocheza) ameshindwa hata kuwa MVP hata mara moja?!? Ndiyo maana sisi humu tunamsema sana; ingawa media powerhouses (haswa US) zinalipotezea (hili la kuto-live to the 1st unanimous NBA MVP) kwa sababu ni kipenzi chao, wanachotaka kiwe mfano kwa watoto wao. Wakifanya hivyo (kum-toast na kum-blast) watawavunja mioyo na kuwakatisha tamaa watoto wanaoelekezwa waige mfano wa Curry.
Yaani ESPN walivyokuwa wanamsifia Lebron hamkuwa mnaona?? ESPN leo wamehamia kwa Curry imekuwa nongwa?? Mbona TNT akina Barkley wanamponda sana Curry kwa kumuita soft.. Curry yawezekana hapondwi kwasababu hakuna ambacho unaweza kumponda nacho.. Mbona Klay alivyoachana na mpenzi wake Hannah media zilimshambulia sana mpaka hii season inaanza akapumzishwa kwa mechi kadhaa sababu hakuwa anaperfrom vizuri..Braza uwa unasoma na kunielewa kweli? Au ndiyo tatizo la comprehension alilolisema Ngabu nawe unalo? Ni wapi nimesema Curry hastahili kusifiwa kwa sababu anatoka familia ya kitajiri? Hivi ndivyo ulivyoelewa kile nilichokiandika?
Nilichokisema ni kwamba historia ya Curry ya kupata 'mafanikio' ndiyo inatengenezwa kuwa ndiyo sahihi kwa vijana kuiga. Kwamba Curry anafaa kuwa mfano wa kuigwa 'role model' kwa vijana wa kimarekani. Kama unaelewa hili suala kwa context ya Marekani, nafikiri itakufanya uelewe kwa wepesi ninachokisema. Bad boys kama kina Bron, RW na hata Durant, uwa hawapaswi kuwa role models wa watoto wao (wa the establishment). Ila good boys kama akina Curry na Klay ndiyo wanapaswa kuigwa. Kama unaelewa nguvu ya media powerhouses kwa Marekani (katika kutengeneza 'heroes' and 'villains') pia utanielewa haraka. Hivyo hilo la Curry kuwa 'good boy' anayepaswa kuwa role model limemfanya asiwe akiwa-blasted na toasted na media. Ndiyo maana, kama nilivyosema huwezi kusikia media powerhouses wakimsema vibaya 'good boy' wao ili wasiwauzi watoto wao wanaopaswa kujifunza kutoka kwa Curry. Hiki ndicho nilichokisema. Yeye asifiwe tu, ila akosolowe pia kama ambavyo akina Bron, RW na Durant wanavyofanywa.
Great. Then, don't compare Curry with Bron and MJ. Curry is currently the best shooter (he might go down as the best ever, if he keeps on doing what is doing now consistently i.e. for more than just two seasons). But he aint the best baller.Hahahahah Curry can't become that man.... He's limited to what he's best at. And when it comes to that nobody edges his marksmanship. Kwanini tu tusikubali kuwa a player is whom he's. LeBron kabarikiwa kuwa whom he's no problem. He's a great all rounder no problem.. he's a great defender no problem... he's a great and efficient scorer no problem...
But Curry is whom he's man #period. A great shooter and an efficient scorer. Hayo mengine hayahitaji na sio lazima. he's 6'3 and few have been better rebounders at that height. He's not a good passer according to stats not because he can't but the team let's him not be a primary passer of the game..
We've got to embrace this moment. Halafu jiulize kwanini katika hii conversation kwanini humuweki Kevin Durant who's even taller.... kwanini hawekwi Westbrook and the likes of other greats. Them against LeBron tangu season inaanza?
It's because of only one thing... Curry has mastered the code of his best attributes. And he's beating the others on it. Tikiti haliwezi kuwa boga na simba wanaopanda miti are on a verge of extinction kama all rounder players ambao ni best kama LeBron.
#period
Hahahahaha kaka.... as long as you don't appreciate what this man is doing then you don't have respect for this game. .yaani Curry is not a baller?Great. Then, don't compare Curry with Bron and MJ. Curry is currently the best shooter (he might go down as the best ever, if he keeps on doing what is doing now consistently i.e. for more than just two seasons). But he aint the best baller.
Unasema all rounders are on the verge of extinction, wakati GSW kuna Green? Kama Green akiendelea kucheza hivi, he is the next all rounder to watch.
BTW, Durant na Westbrook sijawazungumzia kwa sababu sijasikia wao wakilinganishwa na Bron na MJ kama GOATs. But, Curry's fanatics do so.
Hivi hili nalo ni swali..... mention five players who've endured injuries kama huyu kijana. Hebu tuwe realistic. This kid's career had been hampered by injuries that's not even a question.
Hahahahaha kaka.... as long as you don't appreciate what this man is doing then you don't have respect for this game. .yaani Curry is not a baller?
Sasa kama Curry ain't a baller Irving ni nani?
This is it..... mwanzo emotions zilikuchukua sana. He's yet to be the best ever but he's currently what you've said. KudosKaka, I have always said, and I'm saying again this: Curry is currently the best shooter and the most entertaining player in the league. The problems I have with his fanatics is naming him 'the best ever'; and comparing him to GOATs like MJ and Bron, who have consistently been best players and entertainers since before and after entering the league. Yes, he is now the best shooter and player. But, to be even considered the best ever and be compared to other GOATs, let him do what he is doing now for more than 2 seasons i.e. consistently, he has to the best player, breaking records as an individual and helping his team to win championships or at least reach NBA's biggest stage.
Mwanzo upi ndugu? Pengine hujanielewa tu, mimi huo ndiyo mtazamo wangu juu ya Steph toka mwanzo ndani ya thread hii.This is it..... mwanzo emotions zilikuchukua sana. He's yet to be the best ever but he's currently what you've said. Kudos
SAY NO MORE, CUZ!.Hahahahah Curry can't become that man.... He's limited to what he's best at. And when it comes to that nobody edges his marksmanship. Kwanini tu tusikubali kuwa a player is whom he's. LeBron kabarikiwa kuwa whom he's no problem. He's a great all rounder no problem.. he's a great defender no problem... he's a great and efficient scorer no problem...
But Curry is whom he's man #period. A great shooter and an efficient scorer. Hayo mengine hayahitaji na sio lazima. he's 6'3 and few have been better rebounders at that height. He's not a good passer according to stats not because he can't but the team let's him not be a primary passer of the game..
We've got to embrace this moment. Halafu jiulize kwanini katika hii conversation kwanini humuweki Kevin Durant who's even taller.... kwanini hawekwi Westbrook and the likes of other greats. Them against LeBron tangu season inaanza?
It's because of only one thing... Curry has mastered the code of his best attributes. And he's beating the others on it. Tikiti haliwezi kuwa boga na simba wanaopanda miti are on a verge of extinction kama all rounder players ambao ni best kama LeBron.
#period