Alegria do povo
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 293
- 441
Karibu tena ndugu angu.hapa apite thunder au gsw.. cavs are new nba champions..
le bron hajawakazia tu raptors.. ni kama anavuta series irudi nyumbani ohio...
ukitaka uone le bron ni nuksi mfikishe fainali.. hata akiwa peke yake tu anatoa ushindani wa nguvu..
mwaka jana akiwa na bench players tu alifunga ma 40 points kwenye game za fainali na health warriors
Kupotea kote huko kumbe...! Karibu VeronicaAmadu, Janjaweed, Nzi, BAK, zech, Bufa, shaurimbaya na wote mliolikimbia jukwaa mwaka jana...karibuni sana, hatuna kinyongo na mtu.GSW kwenye hii series imerudi kuwa ile GSW ya miaka miwili iliyopita, a wee NBA team...na kama wakitolewa, basi watadhiirisha wali-fluke mwaka jana na kwamba wasingeweza kuwafunga a healthy Cavs...
Hahaha dah mkuu af design ka kweli kuna kaupepo. Kubwa ya yote, trash-talker, quotes machine, Gregory McConnor (the surname imeniponyoka sina uhakika nayo) naye alipoteza tena kwa KO kwa Nate Diaz.Wazee wa ''Elimu Ya Nyota'' mtusaidie............What's wrong with 2015/2016 SEASON..................Daaamn...Is this the Year of the Unexpected?!?..
- Ronda Rousey defeated by Holy Holm(UFC 193)
- N.Carolina defeated by Villanova (NCAA)
- Carolina Panthers defeated by Denver Broncos(Super Bowl 50)
- TP Mazembe defeated by Wydad Casablanca(CAF Champs League)-Eliminated
- F.C Barcelona defeated by Atletico Madrid(UEFA Champs League)-Eliminated
- Netherlands National Team Eliminated from Euro 2016
- Leceister City won EPL(MAN UTD,CHELSEA & LIVERPOOL all fail to win UEFA Champs League Spot)
- Tyson Furry defeated Wladimir Klitschko(Boxing-WBA,IBF & WBO Titles)
- ...........................?!?!......
I still "believe" GSW can pull this off despite being written off by most..However ikitokea ndivyo sivyo Nitakuwepo humu kama NBA Fan nakuona na kujadili kinachoendelea..#tillFinal
#NBAis Entertaining
My bros talking! We share the same spirit like we a cut from the same fabric.Mkuu we upo kama mimi...
Kwa kadiri niijuavyo Thunder na blunders zake zile za kuanzia Q3 kuendelea bado I can't count GSW off at all...
Hahaha dah mkuu af design ka kweli kuna kaupepo. Kubwa ya yote, trash-talker, quotes machine, Gregory McConnor (the surname imeniponyoka sina uhakika nayo) naye alipoteza tena kwa KO kwa Nate Diaz.
Panthers hawakuwa na tofauti sana na ile 2007 New England Patriots. Almo9st perfect all regular season with a dab to match the tune of extravagant touchdowns... But they came to be humbled by the Sheriff & Co. So maybe it's the year of humbling the giants in every sport leagues.
Another kindred spirit!. Same thoughts bruv.Actually Connor McGregor lost by submission via a rear-naked choke.
I couldn't have been happier.
Another kindred spirit!. Same thoughts bruv.
Another kindred spirit!. Same thoughts bruv.
there is a reason Philippians 4:13 is his favourite verse.....Curry kuwa na akiba ya maneno braza..
Ni ama uwe moto au baridi ila usiwe vuguvugu. Upande gani haasa unapenda ushinde?OKC wapo vizuri. As much as nataka Cavs washinde ila OKC wakipata rings itakua sawa tu.
Simba kupoteza Ligi wakati kaongoza kwa Muda Mrefu,Wazee wa ''Elimu Ya Nyota'' mtusaidie............What's wrong with 2015/2016 SEASON..................Daaamn...Is this the Year of the Unexpected?!?..
- Ronda Rousey defeated by Holy Holm(UFC 193)
- N.Carolina defeated by Villanova (NCAA)
- Carolina Panthers defeated by Denver Broncos(Super Bowl 50)
- TP Mazembe defeated by Wydad Casablanca(CAF Champs League)-Eliminated
- F.C Barcelona defeated by Atletico Madrid(UEFA Champs League)-Eliminated
- Netherlands National Team Eliminated from Euro 2016
- Leceister City won EPL(MAN UTD,CHELSEA & LIVERPOOL all fail to win UEFA Champs League Spot)
- Tyson Furry defeated Wladimir Klitschko(Boxing-WBA,IBF & WBO Titles)
- ...........................?!?!......
Umeona majibu ya watu?Instagram photo by SportsCenter • May 25, 2016 at 6:07am UTC
Aiseee hiki alichoandika Speights kina uzito sana
I think the best thing is to wait then realise who's right between him and fans. There should always be a reason to shut the mouth of the other.Umeona majibu ya watu?
Haya ndiyo THE BEST
"jr3dzx7We never seen a 73-9 team with a unanimous MVP choke either guess this is the year we will see all that"
"jsanchez_83@sportscenter I've never seen a 73 win team with a unanimous mvp and choke. #1sttime4everything"
The best thing is to have "akiba ya maneno", and let basketball on the court talk!I think the best thing is to wait then realise who's right between him and fans. There should always be a reason to shut the mouth of the other.