Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,713
Memphis anakupeni uzoefu
OKC wanacheza game sawa na GSW, wote wanaprefer offense zaidi, so hii itakuwa open game! Ila kwa wakongwe wa defense kama Memphis wanakaa game 6.
Lazima wakae...majitu yamekomaa,height kama trees na defence ya kufa mtu,lazima madogo wakae aisee
Wakikutana na Memphis/SAS wanapigwa frustrations za kufa mtu mpaka wachanganyikiwe, na hapo ndiyo shooting inapotea! Nakumbuka mwaka jana Memphis waliwakazia OKC mpaka Zach Randolph akapigwa ban game 7 ndiyo ilikuwa pona pona yao!
We will bounce back.. Tulimiss lots of free throws, When we were down to 5 Green alifanya upumbavu kutaka kwenda kuscore mwenyewe aonekane a hero wakati shooters walikuwa wide and free
Dah, hawa GSW kumbe ilikuwa nguvu ya soda
Nimekuwekea quotes za posts zilizoko page ya pili ya hii thread! Bado naendelea na msimamo wangu kwamba GSW hamwezi Memphis!
GSW wamecheza kwa style moja tu msimu mzimu mzima, sina uhakika kama wanao uwezo wa kuchange tactics kwa hiki kipindi kifupi sana, maana hiyo wanayoitumia imeshapata dawa.
Game 4 ni must win kwa GSW, otherwise wameaga.
Hahahahaha lol! too early to count them out.
Yes it seems they'll tie the series tonight.