Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,899
raha mbele kuliko kujihifadhi..
Mkuu nyie hamuelewi Delonte ni kama ana paly a game na media na watu.The guy hata angekuwa vipi asingeweza kuwa broke kwa kipindi kifupi hicho.He has traded for $12.7Mil.Kama Hasheem anakula bata na $4mil huyu na mahela hayo sio kweli kauwawa.NBA inatakiwa kuwapa darasa wachezaji kuishi kiuchumi badala ya aibu hii.
Mkuu nyie hamuelewi Delonte ni kama ana paly a game na media na watu.The guy hata angekuwa vipi asingeweza kuwa broke kwa kipindi kifupi hicho.He has traded for $12.7Mil.Kama Hasheem anakula bata na $4mil huyu na mahela hayo sio kweli kauwawa.
He's playing,fungua accont yake ya twitter soma tweet zake utajua he is serious au la

Delonte mzush anataka kusikika hawezi kulost hivo