Nimeona moja katika page wanadai Russell ana majeraha katika goti. Lakini sio sababu, hawa OKC mpaka Half Time inafika uking'o walikuwa wanazidiwa points 10. 3th quarter wamecheza mchezo safi kabisa mpaka 3th quarter inaisha walikuwa wanazidiwa points 3 kama sikosei. Ni matumaini yangu 4th Quarter wangekaza vilivyo waondoke na ushindi. Jamaa yangu Russell West naona alikuwepo kama kocha vile