Hii series ni ngumu sana kuitabiri, ukiangalia lead swings za quarter to quarter ni balaa tupu.
Na fact kwamba yeyote anashinda kokote. Deciders wa game kama hizi huwa ni role players na bench, ukiangalia vizuri GSW hawana benchi la kutisha sana kwa ulinganifu na Houston ingawa stars wa timu ni wakali kuliko na ni wengi.