Naona Cavs wanajitutumua leo, hawataki hiyo aibu ya kufungwa mbele ya mashabiki wake na kweli wanajituma hadi Celtics wanaona kizunguzungu. Hadi sasa 3rd Quarter wako mbele kwa 71-48 duh!

Yeah ni kweli
Steph amecheza hovyo mara nyingi sana
He doesnt need to perform like an MVP, just an all star performance ia enough for him to help the worriors.