Kulingana na Charles Barkley, timu zitakazochuana katika fainali ni Cleveland Cavaliers na Houston Rockets! Kadai Toronto Raptors hawana pumzi na kesho wanalala kwa Cavs! Haipi nafasi hata kidogo Golden State Warriors! Je kama kawaida yake safari hii pia kachemsha?