warriors were just playing around.. wameona comeback ya Cavs imemek headlines so they did the same thing, they trailed on the first half on purpose. c unajua wanapendaga kiki
Kilinge kina watu wengi pia siku hizi safi sana.. Lakini muda wangu wa kuvurugana na RaimundoNziTytaSteph CurryMag3 utafika tu.. bado kidogo gari halijashika moto Ambitious karibu sana ila naona unagive up mapema sana. Mwaka jana usingekaa humu