Jamaa alianza kuforce kila shot.. Kuna moja ambayo Klay alikuwa open na ye kapata rebound badala ya kumpa Klay akakimbilia mwenyewe kwenye three point line na kushoot. Naona Klay ile ilimuudhi sana akapita pembeni akiwa amenyoosha mikono juu.. Very selfish player to play with. Naona hata mwishoni players wengine wakaanza kuignore kumpa mipira wakawa wanampa AD tu mpaka alivyotolewa..
BREAKING: Pelicans agree to trade 3 players, including Buddy Hield, and future 1st and 2nd round picks to Kings for DeMarcus Cousins. (via @sportscenter)