Mkuu nimecheki latest games naona kama ball distribution siyo nzuri kivile, hata game tuliyowafunga GSWs hakukuwa na movement nzuri kama ile ya mechi za mwanzo wa ligi.
Hii kitu inabidi iwe addressed immediately, kwa sababu naamini kwa addition ya Kyle ball movement inabidi iwe ya ukweli ili aweze kuwa kwenye nafasi za catch and shoot.