GSW 33 CAVS 49
First Quarter imeisha...
Uwanja wa Quicken Loans Arena umeripuka kwa shangwe za mashabiki wa CAVS...
3 Quarters to go...
[HASHTAG]#DubNation[/HASHTAG]
[HASHTAG]#StrengtInNumberz[/HASHTAG]
HT 49-33! Leo CAVs wanakataa unyonge, wanasema huo mfagio GSW warudi nao kwao Oracle, hakuna cha kufagia ama nini! Sidhani kama kuna mtu atawalaumu tena Kl na Thompson baada ya leo.
Sawa kaka...
For you it's over...
But for me it's not over...
Tangu nimeanza kuishabikia GSW sijawahi kukubali matokeo kabla ya 4th quarter kuisha..!
Go Durant...
Go Steph...
Go Klay...
[HASHTAG]#DubNation[/HASHTAG]