Kwa kuwa hiyo ni tabia yako basi unafikiri kila mtu anayo!! Leo sikuwa na mzuka wa kuangalia game huku nikichangia mada humu. Niliamua kuangalia game vizuri, kwani ilikuwa ni decisive kwa Cavs.
Sina haja ya kujificha, kwani najua huu ni mchezo; kuna kufungwa ama kushinda.
Hongera nyingi ziwafikie wapenzi wote wa CAVs popote walipo kwa kuking'oa hicho kisiki na kufikia fainali ya NBA 2017. Naomba tu niwape taarifa kwamba GSW wanawasubiri kwa hamu kubwa na karibuni sana Oracle Arena tarehe 1/6/2017!