LBJ amecheza dakika zaidi ya 40...
Hawa Cavs watamuua mzee wa watu (jus kiddin)...
Ila nafikiri hii kitu si nzuri sana, inaweza kumfanya huyu mzee akapata majeraha yasiyotarajiwa...
Tunahitaji NBA finals ambazo hazitakuwa na excuses za kiduwanzi..!
This is like watching the Dream Team play Angola in the 1992 Olympics. [HASHTAG]#CavsCeltics[/HASHTAG] [HASHTAG]#cavs[/HASHTAG] [HASHTAG]#LeBronJames[/HASHTAG] [HASHTAG]#nbaplayoffs[/HASHTAG]