Nawezaje kutumia Jf bila data?

Hiyo bure waliyoimaanisha ni ipi? ukiweka pesa haikatwi au? nilijaribu siku moja wakakata hela kama kawaida. Hakuna vya bure siku hizi.
 
Wabongo kwa ubishi... Haya sasa mmeumbukaaaa mimi mara zote natumia Jf bila kulipia data.. Naona mdau kawajibu na screeshot kabisa.. Acheni ubishii
 
kwa kifupi tu, kama cm yako ina opera min, basi fungua opera min then search hapo freebasics, kila kitu utakipata hapo toka app ya freebasic.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…