Kutoa talaka huwa ni kitu rahisi sana sana. Wewe tu. Kama unahisi hayuko nawe, basi na wewe chuna. Akikuletea issue chuna. Kila kitu chuna. Usithubutu kujibu message yoyote anayokutumia. Akija kwako, hata kama ni mzee wa maadili vipi, wewe jichanganye vijiweni na ibuka na issue za ngazi kubwa mbele yake. Ataomba Talaka. Mbona easy.
Wanaume wengi sana huwa wanakosea hapa. Kumwacha unataka, lakini unasitasita bila mipango! Pale kwenye kusitasita ndipo mwanamke anapocheza napo. Maana nao wakifanya faulos ndogondogo, huwa hawana uhakika na hao wanaocheza nao. Ndiyo maana aachii kwako mpaka awe sure na kule kwenye anakocheza faulos. Sasa, Usipoaangalia, kwa sheria ya sasa ya Ndoa, unaweza fungwa! Kimantiki, ni bora ufungwe kwa UFISADI wa vitu kama EPA au kukwapua kitu, kuliko kuchomekewa! Unakufa before time.