Nawezaje kusoma master?

Mimi kwa uelewa wangu Masters Degree ni kuanzia second lower class kwenda juu. Labda ufanye post graduate then uende MA ila kwanini ujitese hivyo si ujisomee tu mwenyewe kama unahitaji maarifa mkuu?


VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
 
UNASOMA mzeeiya ila kuna vyuo usiviguse watakulia pesa yako ya admisssion ..mfano UDSM usitume pale watakula 50 elfu bureeee
 
Mzee ulikuwa unasinzia Kwenye degree

Siyakukothamela Sonini na nini
 
mbona rahisi sana unasoma tu maa staa au mastazi. hahitaji hata GPA kuweza kusoma. kujifunza kizungu rahisi tu
 
Hiyo GPA sasa.. Sikulaumu lakn najiuliza yaan miaka 3/4/5 yote ulikuwa unafanya nn hata mwaka mmoja kutoboa na GPA angalau ya 4 ili iweze kuleta balance nzuri huku mwishoni??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…