Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,428
- 11,843
unamana gani?Danga kwa wingi. Confidence itakuja tu
Ukijua unaenda kuongea mbele ya watu shitua pombe mfano k vant ata rombo glass ili kuondoa wenge utanishukuruHabri ya Jumapili,
Ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya ila kama unachangamoto za kiafya, kielimu, kiuchumi. Basi nakuombea uweze kutatua hiyo changamoto.
Kwa upande wangu mimi ni kijana wa umri miaka 23, lakini nina changamoto kubwa haswa katika masuala ya kujieleza mbele za haswa katika presentations za chuo, yaani hata nikipata ikija zamu yangu kuweza kuongea mapigo ya moyo yanaenda kasi, pressure inapanda, mikono, miguu yote inatetemeka.
Yaani, kiufupi naomba msaada jinsi ya kulitatua hili tatizo linanitesa mno na nina ndoto ya kuwa kiongozi mkubwa wa Taifa hili.
Hapana,nimeweza kugain kitu hapa ili niwe naconfidence,kwanza ni kusoma vitabu,kujikubali,pia kujua content nayopresent in deep,pia kupractise kuongea mbele za watu hasa makanisani,pia bila kusahau kAle kamsemo "The only thing to fear is fear it self'Ukijua unaenda kuongea mbele ya watu shitua pombe mfano k vant ata rombo glass ili kuondoa wenge utanishukuru
Kuna kusoma vitabu na kufika mbele ukasahau. Ila Kuna course ukisoma zitakufanya upate confidence kwa lazima. Imagine course za Education wewe kama mwalimu utaachaje kuwa na confidence?Hapana,nimeweza kugain kitu hapa ili niwe naconfidence,kwanza ni kusoma vitabu,kujikubali,pia kujua content nayopresent in deep,pia kupractise kuongea mbele za watu hasa makanisani,pia bila kusahau kAle kamsemo "The only thing to fear is fear it self'
Reading the booksHabri ya Jumapili,
Ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya ila kama unachangamoto za kiafya, kielimu, kiuchumi. Basi nakuombea uweze kutatua hiyo changamoto.
Kwa upande wangu mimi ni kijana wa umri miaka 23, lakini nina changamoto kubwa haswa katika masuala ya kujieleza mbele za haswa katika presentations za chuo, yaani hata nikipata ikija zamu yangu kuweza kuongea mapigo ya moyo yanaenda kasi, pressure inapanda, mikono, miguu yote inatetemeka.
Yaani, kiufupi naomba msaada jinsi ya kulitatua hili tatizo linanitesa mno na nina ndoto ya kuwa kiongozi mkubwa wa Taifa hili.
Confidence hutegemea umri pamoja na genetic makeup ya mtu. Tazama hotuba za Obama alipokuwa kijana na zile alipokuwa Rais ndio utajua. Kuna mambo umri ukifia yanakuja automatically.Aisee.hilo ni tatizo la wengi mkuu!
Ndo maana upo chuo na unapewa presentations za mara kwa mara ili upate uzoefu wakujiamini, hizo presentation hazikuwekwa na wataalam kwa bahati mbaya,Habari ya Jumapili,
Ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya ila kama una changamoto za kiafya, kielimu, kiuchumi. Basi nakuombea uweze kutatua hiyo changamoto.
Kwa upande wangu mimi ni kijana wa umri miaka 23, lakini nina changamoto kubwa haswa katika masuala ya kujieleza mbele za haswa katika presentations za chuo, yaani hata nikipata ikija zamu yangu kuweza kuongea mapigo ya moyo yanaenda kasi, pressure inapanda, mikono, miguu yote inatetemeka.
Yaani, kiufupi naomba msaada jinsi ya kulitatua hili tatizo linanitesa mno na nina ndoto ya kuwa kiongozi mkubwa wa Taifa hili.
Just assume like there is no one umesimama peke yako hapo mbele. Au ukishindwa kabisa gonga kitu cha K-vantHabari ya Jumapili,
Ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya ila kama una changamoto za kiafya, kielimu, kiuchumi. Basi nakuombea uweze kutatua hiyo changamoto.
Kwa upande wangu mimi ni kijana wa umri miaka 23, lakini nina changamoto kubwa haswa katika masuala ya kujieleza mbele za haswa katika presentations za chuo, yaani hata nikipata ikija zamu yangu kuweza kuongea mapigo ya moyo yanaenda kasi, pressure inapanda, mikono, miguu yote inatetemeka.
Yaani, kiufupi naomba msaada jinsi ya kulitatua hili tatizo linanitesa mno na nina ndoto ya kuwa kiongozi mkubwa wa Taifa hili.
Jiunge na vikundi vya sanaa. Kucheza ngoma na kucheza michezo ya kuyigiza jukwani. Utapona kwa haraka. Lasivyo ninao dawa ya kupaka. Unakua jasiri mara moja.Habari ya Jumapili,
Ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya ila kama una changamoto za kiafya, kielimu, kiuchumi. Basi nakuombea uweze kutatua hiyo changamoto.
Kwa upande wangu mimi ni kijana wa umri miaka 23, lakini nina changamoto kubwa haswa katika masuala ya kujieleza mbele za haswa katika presentations za chuo, yaani hata nikipata ikija zamu yangu kuweza kuongea mapigo ya moyo yanaenda kasi, pressure inapanda, mikono, miguu yote inatetemeka.
Yaani, kiufupi naomba msaada jinsi ya kulitatua hili tatizo linanitesa mno na nina ndoto ya kuwa kiongozi mkubwa wa Taifa hili.
Unaanzaje kuidanganya akil yako kirahis namna hiyo wakati unajiona daily unapiga F wenzako wanagonga A+.Halafu ujiaminishe wote hawajui π weeeeeee thubutu ππππKwanza iaminishe akili yako kua wote waliepo mbele yako hawajui kitu zaidi yako.
Unaanzaje kuidanganya akil yako kirahis namna hiyo wakati unajiona daily unapiga F wenzako wanagonga A+.Halafu ujiaminishe wote hawajui [emoji16] weeeeeee thubutu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]