Nawezaje kupata paid apps pasipo kulipia?

Exformer

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2018
Posts
856
Reaction score
989
Guys nimekuwa nikihangaika sana kupata baadhinya apps ambazo ni premium zinazohitaji kulipiwa kabla na hata baada ya kuwa nazo kwenye simu.

Sina uwezo wa kuafford kulipia ili kupata baadhi ya features frew, Hivyo naomba kama kuna uwezekano wa kunisaidia/ama kuelekezwa namna ya kufanya ili hizo premium apps nizipate bils kulipiwa(modified )
1. Linkedin
2. Wps

Na nyingine nyingi, ama kama unazo zozote unahisi ni zinaweza kusaidia wengine weka katika comments.
 
ingia google search rexdl au revdl utapata..au search tu google app ambyo unahitaji mfano modern combat 3 mod apk utapata
 
Back
Top Bottom