Nawezaje kupata Box la kuflash simu

PRINCEd

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2015
Posts
862
Reaction score
625
Tafadhari naomba msaada ni namna gani naweza pata box la kuflash simu nataka nifungue office ya kudeal na software za simu, asa kuflash simu
 
Tafadhari naomba msaada ni namna gani naweza pata box la kuflash simu nataka nifungue office ya kudeal na software za simu, asa kuflash simu
Una sh ngapi na uko wapi?
 
Yap na mimi nishtue maana hii cmu tatizo...
 
Simu ya aina ni call me 0776129999 au 0777761818
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…