Kuna jambo ambalo ni gumu sana kwangu na huwa najiuliza sana ni hili la mwanamke -------,Swali je huwa wanawake ------- wapo na kama wapo unamjuaje nauliza hivi kwakuwa sijui na inawezekana tulishawahi kukutana nae maeneo fula na tuka....na tukamaliza mimi bila kujua kuwa huyu niliyekuwanae ni ------- kama kuna mwenye utaalamu wa kitu hii atujuze anakuwaje hasahasa kwenye sita kwa sita naomba kuwasilisha