Habari zenu wana Jamii,
Leo Naomba Wenye Ufahamu Wa Madini Wanieleweshe nami na wana jamii Wengine Pamoja tuweze Kufahamu,
mimi nina Mawe mawili yenye rangi ya kijani,niliyapata katika pori ambalo halijaingiliwa na watu na niliyang'oa katika mwamba kwa ndani yanaonekana kama kuna maji.