Nawezaje kujipima ngiri?

Mkuu nmekosea ayo maelezo nliotoa ni kwajili ya ugonjwa wa tezi dume
 
Ngili utaeza kujua mwenyew kwa kuona either kama kinyama kinatokea sehem ya haja kubwa pia inaeza isiwe iyo tu unaweza feel uvimbe pia maeneo ya tumbo na lower abdomen ineza kua sehem moja au zaid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…