Black Pundit
Senior Member
- Dec 24, 2022
- 152
- 134
Nisikilizeni kwa umakini Wavulana wa Dar akina Juniors, bikra ya Ke haihusiani kabisa na tabia njema ya Mke Mwema katika ndoa 75%.Habari za weekend wakuu...
Binafsi tangu siku za nyuma nilijiwekea malengo ya kumuoa Binti ntakaemtoa bikra mwenyewe....
Tayari Lengo langu limetimia but Je?Ntawezaje kudumu nae na nifanye Nini baada ya hz Few days kuelekea kweny long term yangu Juu yake?
Nawasilisha Wakuu
Bado sijakupata mkuuWatu waliowazunguka ndio wanaoamua hatma yenu.
KAMA HUJANIELEWA, SOMA TENA UTANIELEWA.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Umemdinya Wewe?Acha uongo bn mbn yule ashadinywa sana tu
Naijua hyooo....MLETE WANGU NIMFANYIE SALA YA TOBA MWEZI MZIMA
Unajua Leo kaamkia wapi?Umemdinya Wewe?
Nipo Nae since Jana...Unajua Leo kaamkia wapi?
Jidanganye🤣Nipo Nae since Jana...
hakikisha unamtimizia mahitaji yake, hakikisha unamfikisha kitonga my friend akikutana na mtu akamfikisha kilele wakat wewe unampa juujuu utamkosa
Noted mkuuhakikisha unamtimizia mahitaji yake, hakikisha unamfikisha kitonga my friend akikutana na mtu akamfikisha kilele wakat wewe unampa juujuu utamkosa
umekaa kama nzi anaesubiri uchafu atue hajali yeye popote kambiNjoo nkufikishe kitonga
kufikishwa kitonga au hutak? Njoo dm nkutumie nauliumekaa kama nzi anaesubiri uchafu atue hajali yeye popote kambi
umekaa kama nzi anaesubiri uchafu atue hajali yeye popote kambi
Yani huyu anaamini bikra is everything Bora umemwambia hivyo Ndoa zina mambo mengi Sana.Nisikilizeni kwa umakini Wavulana wa Dar akina Juniors, bikra ya Ke haihusiani kabisa na tabia njema ya Mke Mwema katika ndoa 75%.
Katika bikra 3 za Ke nilizobikiri wote walikula kona.
Kwani si Mke Mwema hutoka kwa BWANA, sasa kwanini ulazimishe kisicho riziki ikiwa hakiliki?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
katapila moja tu huchonga barabara ila baada ya hapo hupita magari lukuki sijui umenielewa mkuu!