B Ba E's Senior Member Joined Aug 20, 2013 Posts 145 Reaction score 52 Jan 8, 2014 #1 Habari za majukumu wanaJF kuna simu yangu tajwa hapo juu nimesahau pin code za kui unlock naomba wataalam wa hizi mambo mnisaidie, maana sizikumbuki kabisa hizo pin code ni simu ya tecno T340. Ahsanteni!
Habari za majukumu wanaJF kuna simu yangu tajwa hapo juu nimesahau pin code za kui unlock naomba wataalam wa hizi mambo mnisaidie, maana sizikumbuki kabisa hizo pin code ni simu ya tecno T340. Ahsanteni!
B Ba E's Senior Member Joined Aug 20, 2013 Posts 145 Reaction score 52 Jan 8, 2014 Thread starter #2 Mbona kimya wadau, mwl RCT nisaidie kaka
Badu JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 407 Reaction score 106 Mar 18, 2015 #3 Mkuu na Mimi ninashida kama Yako. Vipi? Wewe ulifanikiwa ku-unlock ama?