Kama ume disco degree,nenda chuo upewe discontinue letter.Ipeleke TCU ili waondoe jina lako kwenye mfumo then ufanye application ya vyuo upya katika mwaka wa masomo.
Kama ume disco on academic ground,unaweza ku apply katika mwaka unao fata wa masomo.
Kama ume disco on misbehaving such as cheating on examinations, penalty yake ni miaka 2.
Hivyo kama ni academic ground,then usihangaike na diploma.Fanya hizo atua urudi na kujipanga upya.
Kuteleza siyo kuanguka,badirisha chuo au course then kapambane upya.
Kila lakheri....!