General Galadudu
JF-Expert Member
- Nov 7, 2015
- 1,868
- 2,200
Asalaam aleykum kwa ndg zangu mnaoendelea na mfungo.......nisiwachoshe sana kwa blah blah nyingi, zamani kdg enzi zile kweli nikiwa super general Galadudu......shababi na hendisamu kweli kweli nilikuwa naminyana kimalovee na mwanadada mmoja aliyekuwa ni mzuri kwa kweli na nilifanikiwa kumpachika ujauzito lakini ukachoropoka.
Baada ya miaka mingi tangu kuachana na kupoteana hatimae limetokea jambo jipya ambalo linahusu familia yangu na familia yake......mdogo wangu wa mwisho aliyekuwa anasomea na kuishi huko Arusha kwa Shangazi yetu na sasa anafanya kazi huko huko.....akaja na wazo la kutaka kuoa na mchumba keshampata (nadhani pia wameshagegedana maana hawa watoto wa cku hizi hawaaminiki) akanionesha na picha ya mchumba mwnyw, ni mzuri sana huyo binti.
Tukafanya process mbalimbali tukaenda Arachuga....dogo akiwa ndo mwenyeji wetu (huku tukiwa makini sana na watu wa huko,maana imesemwa kuwa ktk watu 100 Arusha basi 80 wanamiliki manati za kizungu na wanazitumia muda wowote hata akihisi umemtazama sana)
Baada ya mapumziko cku iliyofuatia dogo akatupeleka ukweni kwake.....kufika huko c ndo nikastaajabu kuwa mama wa yule mtoto (mchumba wa mdogo wangu)ndiye yule niliyekuwaga na nabinuka nae migegedo mikali.....sasa nauliza jamani tufanyeje ili tusiikatili hii ndoa....lakini hawa wanandoa watarajiwa hawajui kabisa kama tuliwahi hata kuonana