Sio lazima afike ofisi za TRA anaweza kufanya online application awe na NIDA tuJibu ni ndio
TIN ni bure
Fika ofisi yoyote ya TRA kuwasilisha taarifa zako ili usajiliwe kama mlipa kodi
Hapo atapata TIN binafsi sio ya biashara na hana haja ya kwenda TRA kwenye website ya TRA anaweza kuipata ndani ya muda mfupi kikubwa awe na namba ya NIDAJibu ni ndio
TIN ni bure
Fika ofisi yoyote ya TRA kuwasilisha taarifa zako ili usajiliwe kama mlipa kodi
Hio ni personal yeye anataka ya biashara sio hio ya kuombea leseni, hio ya biashara ina process zake tofauti na hua hazielezwi vizuriNdio, kama mimi hapa nilitengeneza TIN kwa ajili ya kupata leseni ya udereva. Na pia kupata TIN ni rahisi unaweza kuipata wewe mwenyewe kwa mda wa dk 5 tu
DK 5 ni kweli unaweza ukaipata hiyo tin?Ndio, kama mimi hapa nilitengeneza TIN kwa ajili ya kupata leseni ya udereva. Na pia kupata TIN ni rahisi unaweza kuipata wewe mwenyewe kwa muda wa dk 5 tu
Ukiwa na NIDA ,picha haihitajiki ni dakika 5 TuDK 15 ni kweli unaweza ukaipata hiyo tin?
Nadhani ungempa walau masaa mawili maana ajaze form form ziwe approved kuna kupigwa picha ku-scan finger kutolewa cheti chenyewe etc.
Habari za wakati huu? Kama kichwa kinachojieleza. Nimekuja na swali ambalo nahitaji usaidizi kwa wale wazoefu.
Inawezekana kuwa na TIN namba hata kama sina biashara kwa sasa? Na utaratibu pamoja na gharama upoje?
Ahsanteni sana kwa utangulizi
Tin ya biashara uipate kwa dakika tano?Ukiwa na NIDA ,picha haihitajiki ni dakika 5 Tu
Kama nina TIN na sina biashara je nikianzisha biashara natakiwa kuomba TIN nyingine?Hio ni personal yeye anataka ya biashara sio hio ya kuombea leseni, hio ya biashara ina process zake tofauti na hua hazielezwi vizuri
Unabadilisha hiyo uliyonayo kuwa ya biasharaKama nina TIN na sina biashara je nikianzisha biashara natakiwa kuomba TIN nyingine?
Huwa nawatengenezea watu ndsni ya dk 3 kwahyo hizo 5 nimeweka kama maximumDK 5 ni kweli unaweza ukaipata hiyo tin?
Nadhani ungempa walau masaa mawili maana ajaze form form ziwe approved kuna kupigwa picha ku-scan finger kutolewa cheti chenyewe etc.
Zipo TIN number zisizo za kibiashara.Habari za wakati huu? Kama kichwa kinachojieleza. Nimekuja na swali ambalo nahitaji usaidizi kwa wale wazoefu.
Inawezekana kuwa na TIN namba hata kama sina biashara kwa sasa? Na utaratibu pamoja na gharama upoje?
Ahsanteni sana kwa utangulizi
Kuna TIN namba za aina mbili.Kama nina TIN na sina biashara je nikianzisha biashara natakiwa kuomba TIN nyingine?