naweza kusina kozi gani

naweza kusina kozi gani

mpaka,leo ujajua bado...!!? subir mwakan endelea kutafakari usome ipi
 
Ndo hivi tunatengeneza kizazi cha wanafunzi ambao hata wenyewe hawawez kujitegemea. Mleta uzi haupo serious. "kusina" ulikuwa unamaanisha nini?
 
yaani watu humu jf khaaaah..... mtu kaomba msaada mnamshushua, mbona yaonyesha 1st selection kapigwa chini,
 
bora ww unaeomba msaada wengi hujua kuwa si malengo yao kusoma hiyo kozi wakiwa chuo tayari
 
Back
Top Bottom