Wadau hongereni kwa mapumziko ya mwisho wa wiki.
Naomba kujua kwa hapa Arusha maeneo gani naweza pata ile appetizer yetu maarufu kwa jina la KICHURI. Ukweli ukiagiza nyama choma kisha ukawa na hiyo kitu ukapata na ugali wa kulee kanda ya ziwa ukaongezea na maziwa, ni raha isiyo mfano. Wadau karibuni sana.