Kaputupu JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 1,486 Reaction score 1,179 Sep 8, 2015 #1 Watalaam w IT hivi hii tecno H6 haiwezi ku updated.... Hii simu ina version 4.2.2 Hivi siwezi kupata kit kat kwenye hii simu.. kcamp Chief-Mkwawa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Watalaam w IT hivi hii tecno H6 haiwezi ku updated.... Hii simu ina version 4.2.2 Hivi siwezi kupata kit kat kwenye hii simu.. kcamp Chief-Mkwawa
SangaweJr JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 2,990 Reaction score 2,669 Sep 8, 2015 #2 Ndugu tecno H6 ina kitkat, hiyo ya kwako labda sio H6. Na simu za tecno huwezi uka upgrade kutoka version moja kwenda nyingine, zaidi labda ununue simu nyingine na sasa hivi wameanza kutoa za lollipop zenye 5.0.
Ndugu tecno H6 ina kitkat, hiyo ya kwako labda sio H6. Na simu za tecno huwezi uka upgrade kutoka version moja kwenda nyingine, zaidi labda ununue simu nyingine na sasa hivi wameanza kutoa za lollipop zenye 5.0.
Mavella JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 459 Reaction score 76 Sep 8, 2015 #3 H6 ina version ya 4.4.2 sio 4.2.2
SangaweJr JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 2,990 Reaction score 2,669 Sep 8, 2015 #4 Na ndicho nilicho mweleza kuwa h6 ina kitkat tayari ambayo ni 4.4.2.
SangaweJr JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 2,990 Reaction score 2,669 Sep 8, 2015 #5 Mavella said: H6 ina version ya 4.4.2 sio 4.2.2 Click to expand... Labda post yake aiweke vzr lkn hiyo simu ina kitkat 4.4.2.
Mavella said: H6 ina version ya 4.4.2 sio 4.2.2 Click to expand... Labda post yake aiweke vzr lkn hiyo simu ina kitkat 4.4.2.
Kaputupu JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 1,486 Reaction score 1,179 Sep 8, 2015 Thread starter #6 Thanks wakuu.... Nilikosea kutype.... Ni kweli ina 4.4.2... Bt nilitaka kujua tuu kama inaweza kuwa updated.. Asante.... Mavella Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Thanks wakuu.... Nilikosea kutype.... Ni kweli ina 4.4.2... Bt nilitaka kujua tuu kama inaweza kuwa updated.. Asante.... Mavella
SangaweJr JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 2,990 Reaction score 2,669 Sep 8, 2015 #7 MGuccI said: Thanks wakuu.... Nilikosea kutype.... Ni kweli ina 4.4.2... Bt nilitaka kujua tuu kama inaweza kuwa updated.. Asante.... Mavella Click to expand... Ok tecno huwezi ukazi update version yake. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
MGuccI said: Thanks wakuu.... Nilikosea kutype.... Ni kweli ina 4.4.2... Bt nilitaka kujua tuu kama inaweza kuwa updated.. Asante.... Mavella Click to expand... Ok tecno huwezi ukazi update version yake.
Singida ndio home JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 3,188 Reaction score 3,379 Sep 9, 2015 #8 tafuta rom ya h6 ipo yenye lollipop